Mtazamo wa Uchumi wa Afrika 2016
Huwezi kusikiliza tena

Mapinduzi ya Kilimo yahitajika Tanzania

Imebainika kuwa bara la Afrika liweze kukuza uchumi wake iwapo tu litakuwa na miji endelevu na mabadiliko ya kimuundo. Ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika kwa mwaka 2016. Inaonyesha kuwa Tanzania inakua kiuchumi japo kuwa baadhi ya watu wake wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha, jambo ambalo linasababisha taifa kulenga ukuzaji viwanda ili kuongeza ajira.

Esther Namuhisa anaarifu zaidi kutoka Dar es Salaam