Mchezo wa kutunisha misuli Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mchezo wa kutunisha misuli Kenya

Kwa muda mrefu, mchezo wa kutunisha misuli umekuwa ni zoezi la kawaida kwa wengi,ambapo wengi wao hushiriki mazoezi ya kujenga mwili kujiimarisha kiafya, lakini mchezo huo unaonekana kushika kasi nchini Kenya. Mamia ya Watu wenye uzani mkubwa wanajitokeza kuwania tuzo za mchezo huo,wakiwemo wa kike na wa kiume.

Abdinoor Aden alihudhuria na kutuandalia ripoti ifuatayo.