Janga la ukame kaskazini mashariki Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Janga la ukame kaskazini mashariki Kenya

Jamii za wafugaji katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Kenya inakabiliwa na ukame huku familia nyingi zikiathirika kutokana na ukosefu wa mvua.

Wakazi wamelazimika kuhamia maeneo yenye visiwa ambavyo pia vinakauka na maji yanayopatikana sisafi.

Bashkas Jugsoday alitembelea maeneo yaliyoathirika na kutuletea taarifa hii.