Magufuli amepiga hatua kukabili rushwa?
Huwezi kusikiliza tena

Mwaka mmoja: Magufuli amepiga hatua kukabili rushwa?

Katika mfululizo wa makala maalum ya mwaka mmoja wa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Leo ikiwa ni siku ya pili tunaangazia ahadi yake dhidi ya kupambana na rushwa na ufisadi.

Siku chache tu baada ya kuapishwa Rais Magufuli alitangaza kuwashughulikia mafisadi na wala rushwa ikiwa ni pamoja na kuanzisha mahakama maalumu ya mafisadi.

Mwandishi wetu Esther Namuhisa anathimini ahadi hiyo katika taarifa ifuatayo.