Chifu hodari anayemaliza ndoa za watoto Malawi
Huwezi kusikiliza tena

Chifu hodari anayemaliza ndoa za watoto Malawi

MMoja wa wanawake wa Afrika unaofaa kuwajua ni Theresa Kachindamoto ambaye ni Chifu Mkuu wa Wilaya ya Dedza, katikati mwa Malawi.

Zaidi ya watu laki tisa wamo chini ya utawala wake.