Magufuli alifanya busara kupunguza safari?
Huwezi kusikiliza tena

Magufuli alifanya busara kupunguza safari za nje?

Katika makala maalum za mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli tangu aingie madarakani tunaanganzia hatua yake ya kupunguza safari za nje kwa lengo la kubana matumizi.

Je ina faida au athari zozote kidiplomasia.

Mwandishi wetu Arnold Kayanda na maelezo zaidi.