Ajali za bodaboda zinaweza kudhibitiwa Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Ajali za bodaboda zinaweza kudhibitiwa Tanzania?

Katika kipindi cha Haba na Haba tunaangazia ajali zitokanazo na pikipiki, bodaboda nchini Tanzania huku tukihoji Mamlaka zinawajibika ipasavyo kudhibiti ajali za pikipiki maarufu kama bodaboda?