Gesi ya Mtwara yafaidi wanawake kwa njia mbadala Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Gesi ya Mtwara yafaidi wanawake kwa njia mbadala Tanzania

Kugunduliwa kwa gesi mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania, kunatajwa kuongeza ajira kwa makundi ambayo hayakuwa na matarajio ya kujipatia ajira kutokana na kutokuwa na taaluma rasmi ya kazi wanazozifanya.

Kiwanda cha kuchakata taka cha SBS mkoani Mtwara ni moja ya viwanda vilivyowafaidi wakazi.

Kiwanda hiki kimetoa ajira kwa wanawake wengi ambao hawana ajira.

Halima Nyanza alitembelea, na kutuandalia taarifa hii.