Matumaini ya Waafrika waliohamia Marekani wakati wa Obama

Matumaini ya Waafrika waliohamia Marekani wakati wa Obama

Kwa Waafrika waliohamia Marekani wakati Rais Obama akiingia madarakani walishuhudia mtikisiko wa kiuchumi.

Mji wa Detroit, jimboni Michigan, ni miongoni mwa maeneo yaliyokumbwa na hali hiyo.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus aliyepo nchini Marekani kufuatilia kampeni za uchaguzi ametembelea eneo hilo na kuzungumza nao kuhusu matumaini waliyo nayo.