Nani kati ya Clinton na Trump atakayefaa Afrika?
Huwezi kusikiliza tena

Nani kati ya Clinton na Trump atakayefaa Afrika?

Huku ushindani ukiendelea kuzidi kati ya Hilary Clinton na Donald Trump, wengi kote ulimwenguni wanafuatia sana kuona ni nani ataibuka kuwa rais. Lakini ni mgombea yupi ambaye atalifaa zaidi bara la Afrika, na kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Afrika? Mwenzangu Zuhura Yunus akiwa mjini New York amezungumza na Waafrika wawili, Ben Kazora, ambaye anamuunga mkono Hillary Clinton, na Leader Gennis, ambaye anampigia debe Donald Trump.