Je Rais huchaguliwa vipi Marekani?
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi Wamarekani wanavyomchagua rais wao

Siku chache zimesalia, wakati wapigaji kura wataamua ni nani ataingia madarakani katika afisi ya White House, rais Barak Obama kuondoka uongozini nchini Marekani. Hakuna mgombea ambaye anaweza kupuuza kura zozote katika kipindi hiki cha siku chache zilizosalia. Lakini katika uchaguzi wa Marekani, rais hupatikana vipi?