Methali na uchaguzi mkuu Marekani

Methali na uchaguzi mkuu Marekani

Uchaguzi mkuu wa mwaka huu nchini Marekani, ambao umekuwa na ushindani mkubwa, utafanyika Jumanne tarehe 8 Novemba.

Wagombea wakuu ni Hillary Clinton wa chama cha Democratic na Donald Trump wa Republican.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus amezungumza na baadhi ya Waafrika kwanaoishi Marekani ambao wanachambua maana ya methali na misemo kuhusiana na uchaguzi huo.