Wanaume wanavyotapeliwa na 'warembo' kupitia Skype

Wanaume wanavyotapeliwa na 'warembo' kupitia Skype

Mwanamke mrembo alipowasiliana na Samir mtandaoni, walianza kuzungumza kupitia kamera ya webcam. Hakujua alikuwa anawasiliana na mwanamume ambaye alinakili video ya mazungumzo yao.

Mwanamume huyo alimwambia Samir amlipe euro 2,000 la sivyo angetuma picha zake chafu kwa jamaa zake.