Mamba mkubwa aliyekwama Sri Lanka aachiliwa huru

Mamba mkubwa aliyekwama Sri Lanka aachiliwa huru

Mamba mkubwa, wa urefu wa futi 17, alikamatwa katika eneo la Matara, Sri Lanka.

Mamba huyo alikuwa amekwama kwenye mfereji unaosafirisha maji hadi mto Nilwala.

Alisafirishwa na kisha kuachiliwa huru kwenye mto huo na maafisa wa huduma kwa wanyamapori.