Mtindo wa kutumia fedha nyingi mazishini Kenya

Mtindo wa kutumia fedha nyingi mazishini Kenya

Maombolezi ya kifo katika familia mmara nyingi humdhoofisha mtu.

Lakini kunao wengine wanaovuka mipaka na kusababisha uzito mkubwa katika kugharamia mazishi ya kifahari. Baadhi ya familia zinalazimika kuwaomba majirani ndugu na marafiki wawachangie katika kuandaa maziko hayo.

Dayo Yusuf anaripoti zaidi kutoka Nairobi juu ya mtindo huu unaoendelea kuigwa na wengi nchini Kenya.