Mwanamke wa kwanza mweusi kuwania urais Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke wa kwanza mweusi kuwania urais Marekani

Hillary Clinton anajaribu kuweka historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke Marekani. Lakini si mwanamke wa kwanza kugombea urais nchini humo.

Miongo kadhaa iliyopita, kulikuwa na Shirley Chisholm, mwanamke wa kwanza mweusi kugombea urais mwaka 1972.

Mwandishi wetu Zuhura Yunus anatazama changamoto zilizomkabili Chisholm na namna alivyofungua milango kwa wanawake katika ulingo wa siasa.