Pahala ambapo Rais JF Kennedy aliuawa Marekani

Pahala ambapo Rais JF Kennedy aliuawa Marekani

John Fitzgerald "Jack" Kennedy alikuwa rais wa Marekani wa 35 ambaye alikuwa maarufu sana duniani.

Aliingia madarakani Januari 1961 na alijulikana na wengi kwa kifupi kama JFK. Lakini uongozi wake ulifikia kikomo ghafla Novemba mwaka 1963 alipopigwa risasi na kuuawa akiwa Dallas, jimbo la Texas.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus ametembelea pahala ambapo JFK alikuwa anapitia alipopigwa risasi.