Upatikanaji wa masoko ya mazao unaridhisha Tanzania?

Haba na Haba leo inaangazia masoko yatokanayo na mazao ya kilimo nchini Tanzania huku tukiuliza Je uzalishaji wa mazao ya kilimo unaendana na upatikanaji wa masoko?