Wanaume walalamika wanawake wamewazidi Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Wanaume walalamika wanawake wamewazidi Rwanda

Suala la usawa wa jinsia limegawanya familia nyingi upande wa magharibi mwa Rwanda.

Wanaume wanalalamika kuwa masharti ya usawa wa jinsia yanawapendelea sana wanawake na kuwafanya kudharau waume zao.

wanawake wao wanasema wanaume hugadhabishwa na kuwa sheria haiwaruhusu tena kutumia mali ya nyumbani watakavyo kama ilivyokuwa awali.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ameandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana