Ahadi nyingi za Donald Trump Marekani
Ahadi nyingi za Donald Trump Marekani
Donald Trump alitoa ahadi nyingi sana wakati wa kampeni.
Aliahidi kujenga ukuta kati ya Marekani na Mexico, kumfunga jela Clinton na mengine mengi.
Lakini je, ataweza kuzitimiza?