Silaha haramu zachomwa Nairobi

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Silaha zilizochomwa Nairobi

Silaha haramua zilizotwaliwa kutoka kwa wahalifu zimechomwa moto nchini Kenya.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Silaha zilizochomwa Nairobi

Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, silaha hizo zilipangwa hadi urefu wa futi 15.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Silaha zilizochomwa Nairobi

Kabla kuwashwa moton makamu wa rais nchini Kenya William Ruto, na waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery, walikagua silaha hizo.

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Silaha zilizochomwa Nairobi

Kisha silaha hizo 5,250 zilizomwagiwa mafuta, zikawashwa moto eneo la Ngong, viungani mwa mji wa Nairobi.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Silaha zilizochomwa Nairobi

Bwana Ruto alisema kuwa silaha hizo zilitwaliwa kwa muda wa miaka 9 iliyopita huku nyingine zilisalimishwa kwa hiara,