Mizinga Melu, mwanamke mkuu katika benki Afrika Kusini

Mizinga Melu, mwanamke mkuu katika benki Afrika Kusini

Mizinga Melu, alitoka Zambia lakini kwa sasa ni meneja mkurugenzi na CEO wa benki nchini Afrika Kusini.

Alipokuwa mdogo, alikuwa anamsindikiza babake kwenda benki. Alikuwa na ndoto kwamba siku moja, atakapokuwa mtu mzima, labda angekuwa mmoja wa makarani.

Hakufanikiwa kuwa karani, lakini anafanya kazi benki.