Ayalo: Nimeumizwa sana na saratani ya tezi dume

Ayalo: Nimeumizwa sana na saratani ya tezi dume

Ni mwezi Novemba, mwezi ambao unatumika kuchangisha fedha za kufanyia ubunifu, kutoa mafanikio ya utafiti uliofanyika na kusaidia miradi inayowawezesha wanaume kuishi maisha ya furaha, afya na maisha marefu kwa kututumia kampeni zinazojulikana kama Movemba.

Na kwa mwaka huu sehemu kubwa ya kampeni inahusu saratani ya tezi dume. Je uelewa kuhusu saratani hii kunaweza kuleta mabadiliko barani Afrika?

David Wafula ametuandalia taarifa zaidi kuhusu saratani ya tezi dume kutoka Nairobi.