Maelfu wamo hatarini ya kupofuka Morogoro
Huwezi kusikiliza tena

Maelfu wamo hatarini ya kupofuka Morogoro, Tanzania

Morogoro ni miongoni mwa mikoa nchini Tanzania inayokabiliwa na tatizo la ugonjwa wa macho.

Zaidi ya watu watu 20,000 mkoani humo wanakabiliwa na magonjwa ya macho, ambapo wasipopata matibabu yanaweza kuwasababishia upofu.

Kwa mujibu wa mratibu wa magonjwa ya macho mkoani humo, asilimia themanini ya wagonjwa wana umri zaidi ya miaka hamsini, na wengi wao hawamudu gharama za matibabu.

Aboubakar Famau na taarifa zaidi.

Mada zinazohusiana