Tamasha la Breakdance lasisimua Kampala

Tamasha la Breakdance lasisimua Kampala

Jiji la Kampala mwishoni mwa juma liliwakaribisha wacheza densi wa Breakdance zaidi ya 150 kutoka kanda ya Afrika Mashariki.

Tamasha hili la sita kwa jina la Break-Fast Jam ilikuwa nafasi yao tosha kuonesha vipaji na mbinu walizonazo. Ripota wetu Siraj Kalyango alijaribu miondoko fulani.

Hii hapa taarifa yake.