Latasha: Mwanamke kuwa mnene si tatizo
Latasha: Mwanamke kuwa mnene si tatizo
Latasha Ngwube, ni mwandishi wa mitindo Nigeria, ambaye ni mnene na amekuwa akijihusisha na wanamitindo wanene.
Aidha, amekuwa akiwahamasisha watu wanene kujikubali na kujivunia maumbile yao.
“Wakati unapojikubali na kujipenda, unaweza kupiga hatua na mtu unayetaka kuwa.”