Mwanzilishi wa Jamii Forums akosa kufikishwa kortini

Mwanzilishi wa Jamii Forums akosa kufikishwa kortini

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa kijamii nchini Tanzania Jamii Forums Maxence Melo hakufikishwa mahakamani Jumatano kama ilivyotarajiwa.

Polisi pia hawakumwachiliahuru.

Mwandishi wa BBC Sammy Awami alizungumza na wakili wa Melo na kwanza alianza kwa kumuuliza nini kinaendelea kuhusiana na kesi hiyo.