Mwanamke kiongozi wa bendi DR Congo
Huwezi kusikiliza tena

Saidate: Mwanamke kiongozi wa bendi DR Congo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni nchi ambayo imejulikana sana kwa kuwa na wanamuziki mashuhuri.

Hata hivyo wanawake wenye kumiliki bendi zao binafsi ni wachache ukilinganisha na wanaume.

Bendi ya Generation de Stars ni moja ya zile zinazoongozwa na wanawake, ambayo ipo chini ya Saidate.

Mwandishi wa BBC nchini DRC, Byobe Malenga, alimtembelea katika mji wa Bukavu nakutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana