Waziri wa mambo ya nje China azuru Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi azuru Tanzania

Waziri wa mambo ya nje wa china Wang Yi amewasili Tanzania kwa ziara ya siku Moja, ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo juu ya mpango wa maendeleo ya viwanda kati ya Tanzania na China.

Huku viwanda takriban 200 vikitarajiwa kujengwa kufikia mwaka 2020.

Munira Hussein amezungumza na Afisa habari wa wizara ya mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga juu ya ziara hiyo.

Mada zinazohusiana