Trump: Tumerejesha madaraka kwa raia

Trump: Tumerejesha madaraka kwa raia

Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kuapishwa, ametangaza kwamba kuapishwa kwake kumerejesha mamlaka kutoka Washington hadi kwa raia.

Amesema watu waliojihisi kusahauliwa, hawatajihisi hivyo tena.