Waandamanaji wateketeza Limousine Marekani wakimpinga Trump

Waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais mpya Donald Trump waliharibu mali na hata kuchoma gari la kifahari wakati wa maandamano hayo Washington DC.