Nyumba 19 zabomolewa wakati mmoja China

Nyumba 19 zabomolewa wakati mmoja China

Jumla ya nyumba 19 za ghorofa zilibomolewa wakati mmoja kwa kulipuliwa eneo la Wuhan, China.

Wabomoaji walitumia tani tano za vilipuzi, na baada ya sekunde 10 pekee, nyumba hizo zote zilikuwa zimebomoka.