Hatari katika kuwakata watoto Kimeo
Huwezi kusikiliza tena

Hatari ya kuwakata watoto Kimeo

Wakati mtoto akiwa na kikohozi kisichoisha huwa ni utamaduni wa baadhi ya jamii kumfungua mtoto mdomo na kuangalia urefu wa Kimeo ambacho wengine katika pwani ya Kenya hukiita kilimi.

Ikiwa ni kirefu husemekana kuwa ndio sababu ya kikohozi sugu hivyo sharti kikatwe na wataalam wa kijadi.

Sasa wataalam nchini Tanzania wanasema operesheni hii ya kijadi ni hatari na inaweza kusababisha madhara makubwa kiafya.

Kwa maelezo zaidi hii hapa taarifa ya mwandishi wetu Esther Namuhisa.

Mada zinazohusiana