Utalii wa kutazama ndege unavyopata umaarufu Uganda

Utalii wa kutazama ndege unavyopata umaarufu Uganda

Kuangalia tu ndege - huwezi kudhani kama ni jambo la kusisimua sana. Lakini aina hii ya utalii wa kuangalia ndege unaziingizia nchi nyingi za Ulaya na Marekani mabilioni ya dola.

Na sasa Uganda, ikiwa na aina nyingi za ndege, imeamka na kutaka isipitwe na fursa hii.

Mwandishi wetu Sammy Awami alikwenda Entebbe, Uganda na kutuandalia taarifa hii.