Mwanamke mvuvi mahiri Mwanza, Tanzania

Mwanamke mvuvi mahiri Mwanza, Tanzania

Shughuli za uvuvi wa samaki hufanywa na wanaume, kutokana na mazingira ya kazi hiyo kuwa ni ya usiku na ya kwenye maji.

Lakini kaskazini magharibi mwa Tanzania, katika mkoa wa Mwanza, kisiwa cha Ukara mtazamo huo umekuwa tofauti kwa Bi Experansia Nagabona ambaye yeye mwenyewe ni mvuvi.

Alizungumza na Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa.