Sauti za Busara zilivyochangamsha Zanzibar

Sauti za Busara zilivyochangamsha Zanzibar

Tamasha kubwa la Muziki Afrika Mashariki Sauti za Busara lilimaliza Jumapili usiku visiwani Zanzibar.

Mwaka jana tamasha hilo halikuweza kufanyika kwasababu ya ukosefu wa fedha, lakini mwaka huu baada ya kupatikana na wadhamini, tamasha hilo limefanikiwa kufanyika.

Mwandishi wetu Sammy Awami alikwenda Zanzibar kuangalia.

Je, tamasha hili lilifana kiasi gani baada ya kurejea.