Picha za kusisimua za wanasiasa na watoto

Theresa May in a school Haki miliki ya picha Getty Images

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May alionekana kushangaa alipotembelea shule moja Cumbria wiki hii kama picha hii inavyoonesha.

Lakini si yeye wa kwanza kupigwa picha ambayo ni ya kushangaza akiwa na watoto.

Hapa, ni baadhi ya picha za kushangaza za viongozi wengine.

Msichana huyu hakutaka kumuona aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameron

Haki miliki ya picha PA
Image caption Lucy Howarth alificha uso wake mezani Cameron alipojaribu kusoma hadithi aliyokuwa anaisoma

Mvulana aliyekutana naaliyekuwa waziri wa fedha George Osborne

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Osborne, wakati huo akiwa waziri wa fedha, alikuwa anazungumzia malipo ya kuwatunza watoto. Titus alikuwa kwingine.

Ed Miliband akinywa chai

Haki miliki ya picha PA
Image caption Kiongozi wa zamani wa chama cha Labour alipokutana na watoto kusini mashariki mwa London, wasichana hawa hawakuonekana kufurahia akinywa chai

Boris naye alimwangusha mvulana mchezo wa raga

Haki miliki ya picha PA

Alyekuwa meya wa London Boris alikuwa akicheza raga na watoto wa miaka 10 Japan. Alionekana kutumia nguvu zake zote. Mvulana huyo baadaye alisema "nilihisi maumivu kidogo".

Boris baadaye aliomba radhi.

Ed Balls alihitaji kusaidiwa kuinuka kutoka kwenye mkeka

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mbunge hyo wa zamani wa Labour alisaidiwa na mkewe ambaye pia ni mwanasiasa Yvette Cooper

Watoto walionekana kushangaa.

Upweke Nick Clegg akila na watoto

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Kiongozi huyu wa zamani wa chama cha Liberal Democrats alifika shuleni kuzindua mpango wa kutoa chakula kwa wanafunzi shuleni. Mvulana huyu upande wa kushoto anaonekana kutofurahia.

Mwana wa Donald Trump, Barron anafahamika kwa kupiga miayo

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Melania Trump na Donald Trump Jr walipokuwa wakifuatilia hotuba ya Donald Trump Kongamano la Kitaifa la Republican, Barron alikuwa dunia nyingine.

Upweke bao...

Haki miliki ya picha Getty Images

Lakini kuna mwanasiasa mmoja anayefurahiwa na watoto ...

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Barack Obama hufurahiwa sana na watoto. Hapa ni katika uwanja wa kuchezea watoto uliopewa jina la mabinti zake
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Anacheza na mtoto kubeba yai
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Anaweza pia kuwasimulia watoto hadithi

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii