Maktaba ya kipekee kijijini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Maktaba ya kipekee kijijini kaskazini mwa Tanzania

Desturi ya matumizi ya maktaba nchini Tanzania, ni jambo ambalo limekuwa nadra sana lakini kijiji cha Nyakarekwa, eneo la Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania ambacho hakina shule ya msingi wala umeme kina maktaba ya umma.

Maktaba hiyo, ambayo ilianzishwa na mhadhiri mstaafu wa chuo kikuu, imekuwa chanzo cha kukua kwa elimu katika eneo hilo.

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa na taarifa zaidi.

Mada zinazohusiana