Marehemu wanaofunga ndoa Tanzania

Marehemu wanaofunga ndoa Tanzania

Bara la Afrika husifika kwa utajiri wa tamaduni mbalimbali, zipo tamaduni za kufanana baina ya makabila lakini pia kuna tamaduni za kushangaza na kukuacha mdomo wazi.

Sasa je umewahi kusikia marehemu anatafutiwa mchumba na kuoa?

Hiyo ni moja ya taratibu katika baadhi ya koo za jamii ya Wakurya nchini Tanzania.

Marehemu anaoa vipi? Munira Hussein anaarifu zaidi.