Tetemeko Tanganyika: 'Lilikuwa tetemeko la kutisha'

Tetemeko Tanganyika: 'Lilikuwa tetemeko la kutisha'

Tetemeko limetokea katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, na kuleta mshtuko kwa baadhi ya raia wa eneo la Rukwa nchini Tanzania.

Tumezungumza na Philipo Siulapwa mwandishi wa habari ambaye anayeishi eneo hilo ambaye anasimulia yaliyotokea.