Utamaduni wa kula nyama Mbichi Ethiopia

Utamaduni wa kula nyama Mbichi Ethiopia

Nyama mbichi ni mojawapo ya vyakula maarufu sana licha ya wataalam wa afya kuonya kuhusu athari zake.

Unaweza kupata nyama hiyo katika migahawa na pia wakati wa sherehe tofauti za kidini au harusi.

Haijulikani tamaduni hiyo ya kula nyama mbichi ilianza lini lakini kuna wale wanaodai kuwa ilianza wakati wa vita ambapo wanajeshi au wapiganaji hawakuwa na muda wa kutosha kupika chakula chao.

Emmanuel Igunza anaeleza zaidi