Sasa nambari moja ya simu kutumika katika mitandao yote Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Sasa nambari moja ya simu kutumika katika mitandao yote Tanzania

Katika kuboresha kiwango cha huduma ya mawasiliano ya simu nchini Tanzania, Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeanzisha mfumo wa utumiaji namba moja katika mitandao yote ujulikanao kama mobile number Portability...

lakini ujio wa mfumo huo umepokelewaje na walengwa?

Esther Namuhisa anaripoto