Wanasayansi  wagundua njia ya kutibu ugonjwa  wa Sickle Cell
Huwezi kusikiliza tena

Wanasayansi nchini Ufaransa wamegundua njia ya kutibu ugonjwa wa seli mundu

Wanasayansi nchini Ufaransa wamegundua kile kinachoweza kuwa njia ya kutibu ugonjwa unaofahamika kama seli mundu au Sickle Cell. Hubadili umbo la seli nyekundu za damu , na kuzuwia damu kutiririka na hivo kusababisha matatizo ya kiafya na hata kifo. Arnold Kayanda ametuandalia taarifa ifuatayo..