Kwa nini sheria ya ubakaji inashindwa kumtetea mwathiriwa?
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini sheria ya ubakaji inashindwa kumtetea mwathiriwa?

Asasi ya kimataifa ya 'Equity Now' leo inazindua ripoti mpya juu ya sheria inavyoshindwa kumlinda mwanamke au msichana katika upande wa kesi za ubakaji duniani.

Je,ni sababu gani sheria dhidi ya ubakaji zinaonekana kushindwa kuwasaidia wahanga wa kesi hizo,ambao kwa asilimia kubwa ni wanawake..

Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo;