Watu wanaojiandalia makaburi Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Watu wanaojiandalia makaburi Tanzania

Moja ya vitu vinavyowatisha wanadamu ni kifo, lakini nchini Tanzania kuna baadhi ya watu ambao huamua kujiandalia kaburi.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezuru makaburi maarufu mjini Dar es Salaam, Makaburi ya Kinondoni. Kwanza anamuuliza Naseeb Rashid msimamizi wa makaburi hayo ni nini hasa sababu ya watu kufanya hivyo?