Muziki wa utamaduni DR Congo wavuma
Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa utamaduni DR Congo wavuma

Licha ya DRC kuwa na wanamuziki wengi wa kiwango, muziki wa asili umezidi kupata umaarufu nchini humo.

Hivi sasa sherehe kubwa kubwa hata zikiwamo za serikali huwatumia wale wanaocheza muziki wa asili.

Bendi Milingita yenye makao yake makuu katika mji wa baraka tarafa ya fizi mkoa wa Kivu ya kusini mashariki mwa Congo ni miongoni mwa bendi za asili zinazoshamiri hivi sasa.

Byobe Malenga alisafiri hadi eneo hilo akahudhuria mazoezi ya bendi hiyo