'Hakuna Matata' Miaka 37 baadaye
Huwezi kusikiliza tena

Wimbo 'Jambo Bwana' ama 'Hakuna Matata' ulitungwa vipi?

Miaka 37 iliyopita, Mwanamuziki mkenya Teddy Kalanda alitunga Wimbo maarufu kwa jina 'Jambo Bwana' ama 'Hakuna Matata'.

Kwake yeye, aliuona wimbo huo kuwa ni wa kawaida kama zilivyo nyingine lakini umaarufu uliofuata Ulimwengu kote ulikuja na mchanganyiko wa mambo, sifa na pia matukio ya kukatisha tamaa.

Teddy Kalanda amezungumza na mwandishi wa BBC Anthony Irungu.