Hafla ya tuzo za filamu 'Riverwood' kufanyika Nairobi
Huwezi kusikiliza tena

Wasanii wa 'nyumbani' kutuzwa Riverwood

Waandaaji filamu na waigizaji Afrika Mashariki wanakongamana jijini Nairobi, Kenya, kushiriki katika hafla ya kutuza waliobobea, maarufu kwa jina 'Riverwood'

Lakini je, jina 'Riverwood' lilibuniwa vipi?

Ni filamu zipi zinafaa kutuzwa?

sekta ya filamu Afrika Mashariki inakabiliwa na changomoto zipi?

Mwanahabari wa BBC Anthony Irungu ameandaa taarifa ifuatayo.