Unajikinga vipi dhidi ya homa ya ini?
Huwezi kusikiliza tena

Kama Mtanzania, unajikinga vipi dhidi ya homa ya ini?

Ripoti ya shirika la afya duniani inautaja ukanda wa Kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwemo Tanzania kuwa eneo hatari zaidi kwa ugonjwa wa homa ya Ini.

Unachukua tahadhari gani za kutosha kujikinga na ugonjwa huo wa homa ya ini?

Mada zinazohusiana