Wakaliwood: Filamu maarufu za Uganda zinavyoandaliwa
Huwezi kusikiliza tena

Wakaliwood: Filamu maarufu za Uganda zinavyoandaliwa

Kiwango cha watengenezaji na waigizaji wa filamu nchini Uganda maarufu kama Wakaliwood, bado ni cha chini kikilinganishwa na kile cha Afrika Magharibi na sana Nollywood nchini Nigeria.

Hata hivyo filamu za Wakaliwood zina mada mbalimbali zinazoigusa jamii na ni sanaa zenye vitendo.

Kadhalika, huandaliwa kwa gharama ya chini sana.

Mwandishi wa BBC Siraj Kalyango alifika kwenye mtaa ambao Wakaliwood wanaendesha shughuli zao na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana